Meru Gossip Club
22/02/2026
Wasomi kujeni mtuelezee kidogo.Mnakumbuka Baby Tamara Blessings Kabura wa miaka 7 mwenye alifanyiwa ile kitu na Mzee mkubwa kwa jina Nicholas Julius Macharia akitoka kwa Salon ya mamake last year Mwezi wa tano?? Na Badae akaficha Mwili wa Tamara?
Jana pale Nyeri Court, Judge Kizito Magare alipeana hukumu ya kifo kwa Nicholas baada ya kuthibitisha yeye ndiye alihusika kwa kifo chake. Kwa umakini wangu,nikaona akivunja kalamu yake baada ya kutoa hukumu ya kifo,hii inamaanisha nini my learned friends?😳
Continue Resting In Peace Baby Tamara 🕊️💔.
Mt Kenya Daily Meru Gossip Club fans Wakili Allan Kosgey Hon. Wakili Sasha Wamae @
Big shout-out to my newest top fans! Amos Mutethia Mutethia
Click here to claim your Sponsored Listing.