LULU FM RADIO

LULU FM RADIO

Share

31/05/2026

Je ni karakara azhazi a kwa bibi harusi kumthuwa mwanawao na msafara baada ya kumlazha kanisani baada ya harusi kufungwa? Ama akarakara ni mauyire ho kanisani mende Mudzini makaoye? Dzigidzya kukirira 23813

22/05/2026

Njia sahihi za kisaikolojia kuwasaidia "Watoto" waliopata watoto ni zipi? Mtoto akipata mimba pale kwenu huwa mnaanzia wapi? Unatusikiliza ukiwa wapi? Sms 23813

21/05/2026

CHAIRMAN APEANA TAMKO!!
"Wasanii wa mziki wa Gospel Malindi wamelala sana, wengi wanakosa advise ndio maana wameporomoka!" Asema Chairman wa mziki wa Gospel Malindi.

19/05/2026

Je, Ni sawa kwa makanisa kuendeleza mafunzo ya kuwafanya vijana kujiepusha na mimba za utotoni?

19/05/2026

Good morning, kumekucha k**a jana, vipi bei ya usafiri huko? Unatumia tikiti ya pesa ngapi kufika job? Pande hizi tunazidi kumtukuza Bwana na ladha ya nyumbani!! Uko nami Pendo Karima kwenye ndani ya Sema nami kwenye SMS 23813

Want your business to be the top-listed Media Company in Malindi?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Address

Lulu FM Radio
Malindi