Slow But Sure
Niko hapa tao kwa Matatu stage nimenunua maji ya Ksh 30 kwa hawker, nimempatia hawker Ksh 1000, hawker ameniachia Maji mbili, Soda tatu, biscuits packet Moja na Lollipops 5 hivi aende akatafute change.
Its been 1hr now and I'm holding on and waiting. Ni k**a change ya ksh. 1000 imekua shida hii Kenya sanaπ
my page
Safaricom PLC : Hawa workers wenu badala wauze lines wanadinyana kwa magari yenuπππ¦ππ
Kuna fala sahi anaambiwa "Fungua pahali ulichora diagram"ππππππ
Click here to claim your Sponsored Listing.