Olympic Fc

Olympic Fc

Share

01/06/2026

🚨Second born amewekwa bahali yake... Odha hotspurs fc si ata umee meno 22 kwanza...mambo ya kusumbuana na first borns wachaa,kacheze na rika zako kuleee

01/06/2026

🚨MATCH_DAY

🆚 Odha hotspurs fc
🏟️Bula Mpya
🕤 3:30 PM

31/05/2026

Kamjesh ya Odha hotspurs fc wakifuatilia matokea hapo kesho wakiongozwa na Yahyah Mohamed Ali ,hawaamini vijana wa Slaughter wanafinywa kufinywa eiiih..hawa wataua wanakijiji na pressure.

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Isiolo?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Website

Address

Isiolo
60300