Kenn ke

Kenn ke

Share

01/09/2025
25/11/2023

Samidoh ATI Leo naskia uko apa kwetu🏄🏄🏄🏄

24/11/2023

Unaangalia mtu wako vile ameiva Hadi unajiambia kimoyomoyo "hap nayo siwezi kuwa pekee yangu "🤣🤣🤣 najua tuko wengi 🤣🤣🤣

23/11/2023

I miss those days ungeleta kadem kako kwa keja kanaanza kulia kakiona ukifunga mlango. Sai tuko na akina Habakkuk na Wasadukayo , kwanza anafunga mlango mwenyewe akiimba "lero lero ni leero* 🤣🤣

EvEveryoneeryone

16/10/2023

endeni mbele mniachie defence

10/10/2023

Ushai notice shimo kwa barabara huanza ikiwa ndogo bt magari mingi zikiendelea kupita inakuwa kubwa,, alafu aftr sometimes hizo magari zinaamua kuhepa hio shimo 🙈 na kupita kando kando na aftr sometimes pia wanaacha kupitia hio barabara na kuanza kupitia route ingine ,,,,
Akili kichwani🙈....Nice Huduma Day all🙏

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Embakasi?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address

Utawala Estate
Embakasi