Chesegem S.D.A - Eldoret
Happy sabbath to all
07/06/2025
Let's give for Makambi and support to build God's Churches.
1 Mambo ya Nyakati 29 : 11
Ee Bwana, ukuu ni wako, na uweza, na utukufu, na kushinda, na enzi; maana vitu vyote vilivyo mbinguni na duniani ni vyako; ufalme ni wako, Ee Bwana, nawe umetukuzwa, u mkuu juu ya vitu vyote.
1 Mambo ya Nyakati 29 : 12
Utajiri na heshima hutoka kwako wewe, nawe watawala juu ya vyote; na mkononi mwako mna uweza na nguvu; tena mkononi mwako mna kuwatukuza na kuwawezesha wote.
1 Mambo ya Nyakati 29 : 16
Ee Bwana, Mungu wetu, akiba hii yote tuliyoiweka, ili tukujengee nyumba kwa ajili ya jina lako takatifu, yatoka yote mkononi mwako, na yote ni yako wewe.
1 Mambo ya Nyakati 29 : 17
Nami najua, Mungu wangu, ya kuwa wewe wajaribu moyo, nawe wapendezwa na unyofu. Nami katika unyofu wa moyo wangu nimeyatoa haya yote kwa hiari yangu mwenyewe; nami sasa nimeona kwa furaha watu wako, waliopo hapa, wakikutolea kwa hiari yao.
1 Mambo ya Nyakati 29 : 18
Ee Bwana, Mungu wa Ibrahimu, na wa Isaka, na wa Israeli, baba zetu, ulilinde jambo hili milele katika fikira za mawazo ya mioyo ya watu wako, ukaiongoze mioyo yao kwako;
Chesegem S.D.A - Eldoret
1 Wathesalonike 3 : 11-13
11 Basi Mungu mwenyewe, Baba yetu, na Bwana wetu Yesu, atuongoze njia yetu tufike kwenu.
12 Bwana na awaongeze na kuwazidisha katika upendo, ninyi kwa ninyi, na kwa watu wote, k**a vile sisi nasi tulivyo kwenu;
13 apate kuifanya imara mioyo yenu iwe bila lawama katika utakatifu mbele za Mungu, Baba yetu, wakati wa kuja kwake Bwana wetu Yesu pamoja na watakatifu wake wote.
Pastor T...
It was an awesome sabbath rest
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the place of worship
Website
Address
Eldoret
30100
Opening Hours
| Monday | 07:00 - 22:30 |
| Tuesday | 07:00 - 22:30 |
| Wednesday | 07:00 - 22:30 |
| Thursday | 07:00 - 22:30 |
| Friday | 07:00 - 17:00 |
| Sunday | 07:00 - 21:00 |