Kristo Mlangoni
26/09/2024
Matumizi ya tasbii ni uganga sio kumfanyia Mungu ibada
13/04/2024
Nina swali ndugu zangu katika Kristo Yesu; iki dhehebu ya katolika ya amini ujiyo wa Yesu Kristo, je! atakapo kuja Yesu Kristo ataenda na na vile visanamu? ikiwa jibu ni apana kwa wanaendelea kutumikia sanamu zisizo nena? k**a unakubali Yesu Kristo toka katika shirika katolika, amini Yesu Kristo pekeake, ndiye kweli na njia ya kwenda mbinguni, kila anae tumikia sanamu ni adui wa Yesu Kristo.
28/03/2024
MUNGU AKI KUBARIKI AIMAHANISHI JINA LAKO LINA ANDIKWA MBINGUNI KWASABABU MUNGU ANAPO NYESHA MVUA KUTOKA MBINGUNI; MVUA HUMWANGIKA KWAKILA MUTU AICHAGUWI MWEMA NA MUBAYA NJOMANA NATAKA KUKUAMBIA YAKWAMBA BARAKA:MALI,CHEO ,WATOTO,RAHA,MANYUMBA YA MAGOROFA; NAKARAMA ,NA HUDUMA KANISANI; HAYO YOTE HAYALETI WOKOVU;WOKOVU IKO MUJINA LA YESU KRISTO UKILIAMINI NA KUACHANA NA ZAMBI; USIJIVUNIE MALI KWAKUWA YOTE ULIYO NAYO NI MAJANI TENA NI UPEPO.
KRISTO MLANGONI.
Cliquez ici pour réclamer votre Listage Commercial.
Type
Contacter la personnalité publique
Téléphone
Site Web
Adresse
Heures d'ouverture
| Mardi | 09:00 - 22:00 |
| Jeudi | 09:00 - 22:00 |
| Vendredi | 09:00 - 22:00 |
| Samedi | 09:00 - 22:00 |
| Dimanche | 09:00 - 22:00 |