Sadiki Issa
04/06/2026
MAARUFU MJINI UVIRA
AMERUDI TENA MTU WA KU EAST
MUONEKANO MUPYA 🙌✍️
ame wambia watoto waji fiche.papa ame kuya
01/06/2026
Tupo kwa sababu tukikua.🥰
Kabla hatuja kuwa tuli kuepo.
Na kabla hatuja kuepo tulikua 😀
30/05/2026
kazi zetu za wandishi habari ni ngumu sana . Ila ni nyepesi ukiwa na heshima, na uki jitambua kuwa wewe ni nani
Nili pata nafasi ya dakika tano . Kuongea na moja kati ya watu hatari sana
Ni K**ANDA ambaye ame pigana muda mrefu. Kwa kutetea udogo wa Congo.
Sio kitu kidogo kupiga naye story.
Tembelea ukurasa wetu wa MAPYA UVIRA
Cliquez ici pour réclamer votre Listage Commercial.