FOMAP
23/11/2023
Numéro 172
BIDAHA MAKOTI MAOMBI 🔥
"Mikono yenye nguvu kwa kazi njema"
FOMAPP
On est fort ensemble🤝 " kula kwao, kura kwetu " avec le numéro 172 tout Uvira est développé , on a pas deux choix soit BIDAHA MAKOTI MAOMBI ou personne 🤕 🔥💪... _●Mikono yenye nguvu kwa kazi njema●_ 🤝
02/11/2023
Mheshimiwa BIDAHA MAKOTI MAOMBI Raphaël, alikuwa na kikao na wanamemba wa taasisi yake iitwayo FOMAP, mkutano huu ulikuwa wa kuongeza uelewa kwa wanamemba wote wa FOMAP kutoka seli za msingi huko Luvungi, akizungumza nao kuhusu miradi ambayo FOMAP inayo kwa maendeleo, mengine : kilimo, uvuvi, mifugo na mengine mengi ya kukabiliana na njaa, kuboresha afya, kuondoa umaskini,... na kati ya miradi hiyo, mradi wa kilimo tayari unaendelea.
"Sote pamoja kwa maendeleo yetu"
■MIKONO YENYE NGUVU KWA KAZI NJEMA■
Cliquez ici pour réclamer votre Listage Commercial.
Type
Contacter la personnalité publique
Téléphone
Site Web
Adresse
Kinshasa