Remaco Media

Remaco Media

Partager

30/10/2024

Anaitwa "MASUDI" Bodyblack Mrwåzå Tėnå tayari ngoma yake "FAKE" FT iko hewani,na tayari ushakua na 2k kwenye mtandao wa YouTube.

Ngoma bado hijaitazama ngoma apo chini twende sawa👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇

https://youtu.be/gV00Jtv5keY?si=aEqnF82lgJrlCIhv

23/10/2024

"𝙁𝘼𝙆𝙀" Ngoma ambayo inaenda kuwakutanisha Bodyblack Mrwåzå Tėnå na ambao wote ni ma rappers bora ndani ya TANGANYIKA.

Ngoma iyo inatarajia kuachiwa tarehe 26/10 Mida ya saa 1 kamili (19h00).

23/10/2024

Kral boy anakwambia "bora nifanye Bisiness" 👀

21/10/2024

🚨 Msanii Ridi firewt anajiandaa kushiriki kwenye show Kubwa ndani ya mwezi huu apa wa 10 ya tarehe 27, uku msanii Lhomanix Kyanzila naye atakua ni moja ya wasanii watakaoshiriki kwenye show iyo.

Mpaka sasa msanii uyo anaendelea kufanya vizuri na ngoma yake ya Oyebi👇👇👇👇👇

https://youtu.be/YZ5o9aZ7gOo?si=fl3X-dMBYThlOt5A

Mastaboy Og FT Rash-Wanted MZIKI clip video official 06/09/2024

Ngoma ya Mastaboy Og official akimshirikisha Rash Wanted-Prod iko hewani "MZIKI" . Fatilia link apo chini uweze kuona iyo video

Mastaboy Og FT Rash-Wanted MZIKI clip video official

Vous voulez que votre entreprise soit Entreprise De Médias la plus cotée à Kalemie ?
Cliquez ici pour réclamer votre Listage Commercial.

Adresse

Kalemie
24315