Jrkanny
26/04/2026
Allahmdulillah +1
10/04/2026
Allahmdulillah
09/04/2026
Tusi Kate tamaa ndugu zang "Amen"
29/01/2026
Ucwe mwepesi ku judge watu kwajili ya appearance yao zaidi mitandaoni ku post pic ama clip kwenye mitandao ya kijamii ni k**a mwanabiashara anavyo ibeba bidhaa yake sokoni.
Wanabiashara wote wana jitahidi kubeba bidhaa nzuri ili apate wateja raisi. But this is my real life.
umoja👆
21/01/2026
Kwenye kalenda ya siku za mwanadam hapa duniani siku zenye ladha chungu ndo nyingi kuliko siku zenye ladha tamu kwa wamaskini na mtajiri wote sawa,.kwa iyo nyakati za furaha kwenye maisha ya mwanadam ni mdogo sana jitahidini ku manage vizur iyo siku yenye furaha Mungu aki kupa fursa.
11/12/2025
Miami boy 💧
Cliquez ici pour réclamer votre Listage Commercial.