All Musuc Updates

All Musuc Updates

Share

Photos from All Musuc Updates's post 02/10/2026

KATI YA VIPAJI VIPYA VINAVYOKUJA KWA KASI KWENYE TASNIYA YA MUZIKI WA BURUNDI 🇧🇮, BASI UWEZI UKAKOSA KUTAJA JINA LA KIJANA UYU ALAN B

Nchini burundi muziki unaendelea kukua kwa kasi sana , Na uyu apa ni mmoja mwa vijana wapya wanaovutia macho na masikio ya wengi , ALAN B ni kijana mwenye kipaji kikubwa kutoka label ya Lamwembe Locomotive. Ana Umahiri wake katika uandishi wa mistari, utoaji wa sauti na ubunifu wa midundo unamfanya aonekane k**a miongoni mwa nyota wanaochipukia kwa nguvu mwaka huu.

Tunapendekeza uchukue muda wako kutembelea YouTube na kusikiliza ngoma yake mpya ili ujionee mwenyewe uwezo wake.
Baada ya kuisikiliza, rudi sehemu ya comment utuambie umeisikiaje na ni kipande gani kimekugusa zaidi.

gusa link kwa comment
https://youtu.be/yYBBTVxoqI0?si=xXkvMtGFoeGHw5Cl

Photos from All Musuc Updates's post 11/23/2025

Big Fizzo na kigingi na mugiteramo mumahanga

Ahirwa Ottawa 🫡🫡 kubatahazi😌😌 muri Canada 🇨🇦

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Montreal?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address

456 Saint Catherine Street
Montreal, QC
H3B1A7