Makku

Makku

Share

06/06/2026

Na kumlipa nikalipa na change akanirudishia 😂😂 Daddi Q Steve Kipande ni boss si boss 😂😂😂😂

06/06/2026

Social media break kidogo. Naenda hivi kiasi 🤍 . BE RIGHT BACK ✌️

03/06/2026

Basssssss 🥰🥰🥰🥳🥳🥳🥳🥳

31/05/2026

Hawa watoto waliochoma moto shule, yani Mara Mia wangewaamsha na wenzao maskini. Like wangewasha an empty dormitory. Ya rabby Ila hii nayo dorm gani inakaa prison hata madirisha ni ya rumande hapana jamani zero ventilation, zero emergency exits aaanh Mungu 💔

Website